Mamlaka
ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imesema mtambo uliozinduliwa hivi
karibuni na Rais Jakaya Kikwete kwa ajili ya kudhibiti udanganyifu
katika mitandao ya simu za kimataifa, unakabiliwa na changamoto ikiwamo
kutokuwa na uwezo wa kubaini uhalifu wa simu unaofanywa ndani ya nchi.
Hayo yalisemwa jana jijini Dar es Salaam na Meneja wa Mawasiliano wa
TCRA, Innocent Mungy, kwa niaba
↧