Mtoto wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ridhiwani Kikwete
ameeleza nia na ndoto yake ya kuwa katibu mkuu wa Chama Cha Mapinduzi
(CCM) siku za usoni.
Ridhiwani Kikwete ameeleza ndoto yake hiyo katika kipindi cha Sun
Rise cha 100.5 Times Fm, wakati akijibu swali kuhusu nafasi ya uongozi
anayoipenda zaidi, swali lililoulizwa na Fred ‘Fredwaa’ Fedilis.
“Mimi wishes zangu…
↧