Muimbaji wa kike wa Nigeria, Adokiye Kyrian amesema bado ni bikira na
ataendelea kuwa hivyo hadi pale atakapopata mwanaume sahihi.
Kwenye mahojiano na jarida la Vanguard, muimbaji huyo mrembo alisema:
Hujawahi kuona msichana mrembo ambaye ni bikira? Mtu yeyote
atakayemnunulia mama yangu ndege binafsi nimemuahidi (mama yangu)
ataushika moyo wangu.”
Aliongeza kuwa haamini katika
↧