Elizabeth Michael ‘Lulu’ ambaye kwa sasa yupo jijini Mwanza kusaka vipaji vya Bongo Movie amewaasa wasichana wenzake
kujitahidi kujishugulisha na kazi mbalimbali za kuwaingizia pesa badala ya kutegemea kuhongwa fedha na matajiri wa kiume kwani ni aibu.
Akizungumza nasi pasipo kuweka wazi kama alishawahi kuhongwa au la, Lulu alifunguka:
“Jamani
wasichana
↧