Baadhi
ya ibara muhimu za sura ya kwanza na ya sita za Rasimu ya Katiba
zimekataliwa na wajumbe wa kamati mbalimbali za Bunge Maalum la Katiba
baada ya kukosa theluthi mbili kutoka kila upande wa Muungano Tanzania
Bara na Zanzibar.
Kwa mujibu wa wenyeviti wa kamati hizo imeshindikana kutoa uamuzi
kutokana na kanuni kuelekeza idadi ya wajumbe wanaopaswa kufanya maamuzi
kufikia
↧