Watanzania
wa Wisconsin, Marekani wanapenda kutoa shukurani kwa wote waliojaribu kuokoa
kutokuchomwa moto kwa ndugu yetu, mpendwa wetu Agustine Michael Lukindo....
Pamoja na
jitihada zote zilizofanyika tunasikitika kuwataarifu kwamba mpendwa
wetu ilibidi achomwe moto na jana Ijumaa April 4, 2014 majivu yake
walikabidhiwa familia yake kwa mtoto wa kwanza wa marehemu kwenda
kuchukua
↧