Mgombea Ubunge katika Jimbo la Chalinze, wilaya ya Bagamoyo mkoani
Pwani, Ramadhani Mgaya (pichani juu) kupitia chama cha AFP amejeruhiwa
kwa mapanga na watu wasio julikana.
Mgaya amesema amevamiwa na kujeruhiwa na mtu ambaye hamfahamu majira
ya saa sita za usiku akiwa katika nyumba ya kufikia wageni ya Goodtime
Chalinze.
"Nimevamiwa na kujeruhiwa na mtu ambaye simfahamu
↧