Walimui zaidi ya 350 wa shule za msingi na sekondari waliopangiwa
kufanyakazi ya kufundisha katika halmashauri ya wilaya ya kigoma
wamepokelewa kwa mbwe mbwe na bashasha huku wakipewa motisha mbali mbali
kwa kuwahamasisha kufanya kazi kwa bidii hatua inayotarajia kuinua
kiwango cha elimu wilayani humo na mkoa wa kigoma kwa ujumla kwa mpango
wa matokeo makubwa sasa.
Walimu
hao
↧