Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akisoma karatasi ya
kupigia kura kabla ya kupiga kura kumchagua Mbunge wa Jimbo la Chalinze
kwenye kituo cha kupigia kura cha Zahanati Msoga leo.
Rais Jakaya Mrisho
Kikwete akiwa kwenye chumba cha kupigia kura wakati wa kupiga kura za
kumchagua Mbunge mpya wa Jimbo la Chalinze leo.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete
↧