Mgombea
wa Ubunge Jimbo la Chalinze kupitia tiketi ya CCM, Ndugu Ridhiwani
Kikwete akihakiki taarifa zake kabla ya kupiga kura kwenye kituo cha
Ofisi ya Mtendaji Kata namba 3 Bwilingu, Chalinze.
Aziza
ambaye ni mtoto wa mgombea wa Ubunge Jimbo la Chalinze kupitia CCM,
Ndugu Ridhiwani Kikwete akimsaidia baba yake kuweka kura kwenye sanduku
la kura. Ridhiwani alipigia kura yake
↧