Chungu
cha ajabu kilichokutwa juu ya kaburi la mtoto Agnes Mlawa katika
makaburi ya Makanyagio mjini Iringa leo kikiwa kinafoka damu.
Baada ya kufunguliwa chungu hicho ndani kulikuwa na damu, maini na kichwa cha ndege.
Wananchi wakishuhudia chungu hicho cha ajabu kilichopo kushoto karibu na jembe.
Baba wa mtoto Agnes Mlawa akichimbua chungu hicho.
Baba wa mtoto huyo kulia
↧