Matokeo ya awali kwa baadhi ya vituo yanaonesha kuwa mgombea wa CCM Ridhiwani Kikwete anaongoza kata zote 15....
Kazi ya kuhesabu kura katika Jimbo la Chalinze imemalizika na matokeo rasimi yatatangazwa muda wowote kuanzia sasa.
Aziza ambaye ni mtoto wa
mgombea wa Ubunge Jimbo la Chalinze kupitia CCM, Ndugu Ridhiwani Kikwete
akimsaidia baba yake kuweka kura kwenye sanduku
↧