Kwa mujibu wa taarifa ya habari ilyosomwa TBC saa moja asubuhi ya
Aprili 7, 2014, Msimamizi wa Uchaguzi wa jimbo la Chalinze,
Samuel Sarianga amemtangaza aliyekuwa mgombea wa kiti cha Ubunge wa
jimbo hilo kupitia CCM, Ridhiwani Jakaya Kikwete kuwa ndiye mshindi.
Mgombea huyo amepata jumla ya kura 20,828 (86.8%).
Washiriki wengine na kura walizopata ni CHADEMA 2,544 (10.5%) CUF
↧