MAMLAKA YA MAWASILIANO TANZANIA
TAARIFA KWA UMMA
TAHADHARI DHIDI YA UHALIFU UNAOFANYWA KUTUMIA SIMU ZA MKONONI
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), kwa kuzingatia kifungu 5 (b)
na (e) cha Sheria ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania ya 2003 inatoa
tahadhari kwa watumiaji wa huduma za mawasiliano, wananchi na umma kwa
ujumla kujihadhari na utapeli unaofanywa kwa kutumia simu za
↧