Kesi dhidi ya Wanajeshi 27 wa zamani wa Kenya ambao walitoroka
jeshini ili kujiunga na kampuni za ulinzi nchini Marekani imeanza kusikilizwa katika
kambi ya kijeshi ya Mtongwe Mombasa.
Wanajeshi hawa wote walikua wakilitumikia jeshi la Kenya
nchini Iraq, Afghanistan na Kuwait kati ya mwaka 2007 na 2008 na iwapo
watapatikana na hatia wanaweza kufungwa jela kwa miaka miwili bila
↧