Siku chache tangu Tume ya Mabadiliko ya Katiba
ivunjwe baada ya kumaliza kazi yake ya kukusanya maoni na kuandaa
Rasimu ya Katiba, tovuti yake nayo imefungwa rasmi.
Ukifungua tovuti hiyo iliyokuwa na taarifa mbalimbali muhimu zinazohusu
tume hiyo na kazi zake, unakaribishwa na maneno kuwa inafanyiwa
matengenezo, lakini habari zilizopatikana na kuthibitishwa na maofisa wa
↧