Msanii nguli wa Hip Hop Bongo,Dudubaya anatafutwa na jeshi la polisi
mkoani Mwanza kwa kosa la kumkata sikio mama yake mkubwa akidai kuwa
mama huyo huwa anamroga....
Kwa mujibu wa mdogo wake aitwaye Muweta, siku ya tukio
msanii huyo alimfuata mama yake huyo nyumbani kwake na kumlaza kwenye
makochi na kuanza kumkata sikio kwa kisu huku akimshushia tuhuma nzito za kumroga ....
↧