Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimjulia hali mmoja wa baadhi ya abiria waliokwama baada ya barabara ya Chalinze-Dar es Salaam kuharibiwa vibaya na mafuriko
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa pamoja na Mkewe Mama Salma Kikwete
na Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mwantumu Mahiza wakikagua athari za mafuriko
zilizoharibu vibaya barabara ya Chalinze- Dar es Salaam eneo la Ruvu
Darajani
↧