Mkongwe wa
Dansi nchini, Maalim Muhidin Gurumo aliyekuwa akitumikia Bendi ya Msondo
Ngoma ‘Baba ya Muziki’ kabla ya kustaafu mwaka jana, amefariki dunia.
Mwanamuziki huyo amefariki leo
alasiri katika Hospitali ya Taifa Muhimbili alipokuwa amelazwa kwa
matibabu.
Mzee Gurumo amefariki dunia baada ya kusumbuliwa na maradhi kwa muda mrefu, hali iliyomfanya
↧