Watu 15 wamejeruhiwa kutokana na mlipuko
wa bomu katika baa maarufu ya Arusha Night Park katika eneo la Mianzini
katika jiji la Arusha.
Tukio hilo lilitokea jana saa mbili usiku wakati
mamia ya watu wakiwa katika baa hiyo wakiangalia mechi ya soka ya Ligi
Kuu ya England kati ya Chelsea na Swansea. Chelsea ilishinda 1-0.
Mmoja wa wamiliki wa baa hiyo, Angelo Mwoleka pia
↧