Mkurugenzi wa kampuni ya Msama Promotion ya jijini Dares salaam inayoandaa matamasha ya Pasaka na Krismwass Bw. Alex Msama anaendelea
vizuri baada ya kupata ajali mkoani Dodoma kisha kupelekwa katika
hospitali ya mkoa wa Dodoma na baadaye kuhamishiwa katika Hospitali ya
Taifa ya Muhimbili katika wodi Kibasila namba 16.
Msama anaendelea
vizuri na matibabu na amesema hali yake
↧