Mwanamuziki wa Injili daraja la kwanza nchini, Rose Muhando anaishi
roho mkononi kufuatia madai kwamba kuna watu wanaomsaka wakisemekana
wametumwa kuichukua roho yake.
Kwa mujibu wa chanzo makini, Rose anaishi kwa machale jijini Dar
akikimbia Dodoma baada ya taarifa kwamba mtu mmoja aliyetajwa kwa jina
moja la Nasani na wenzake wanataka kumdhuru kama si kumtoa roho kabisa.
“
↧