VIJANA wawili wenye asili ya kiasia, wakazi wa jiji la Arusha, wametiwa mbaroni na polisi mkoani hapa kwa tuhuma ya kukutwa na kete 170 za dawa za kulevya aina ya heroin na bangi kete 300.
Walihifadhi dawa hizo kwenye mfuko mweusi aina ya sandarusi na zingine kete 170 zikiwekwa kwenye mpira wa kiume (kondomu) ndani ya gari.
Kamanda wa Polisi mkoani hapa, Liberatus Sabas aliwataja
↧