Msanii mkongwe Mr Nice amepata ajali juzi ndani ya bajaji akiwa na
abiria mwenzake jijini Dar.
Ajali hiyo ilitokea baada ya gari moja "kuwachomekea ", hali iliyomfanya dereva wa Bajaji hiyo kuikwepesha na
kugonga mti.
Hali ya Mr Nice sio nzuri sana,kwani amevimba kichwa na
kuumia sana sehemu za usoni na abiria mwenzake ambaye hajafahamika jina
alifariki papo hapo
<!--
↧