Majeruhi wa awali Joseph Malugu akiwa hospitali ya wilaya ya Kahama baada ya kuumia vibaya mguu wake na sehemu nyingine za mwili.
***
via gazeti la MAJIRA -- Watu watatu wamejeruhiwa vibaya baada ya kugongwa na gari ambalo lilikuwa likiendeshwa na Mkuu wa Kituo cha Polisi Wilaya ya Kahama, mkoani Shinyanga, Bw. Elia Haway.
Majeruhi hao wamelazwa katika Hospitali ya Wilaya ambapo
↧