Maafisa wawili wa jeshi la India ambao walikuwa wakikabiriwa na kesi
nzito ya kumbaka msichana mmoja wameachiliwa huru baada ya kukubali
kumuoa msichana waliyembaka pamoja na mdogo wake.
Kwa mujibu wa Daily Mail, mafisa hao waliotajwa kwa majina ya Sachin
Gupta (27) na Saurab Chopra (25) walikuwa wakishitakiwa kwa kosa la
kumbaka msichana mwenye umri wa miaka 21 ndani ya hotel
↧