Star wa Bongo fleva Diamond Platnumz amesema kuwa siku chache kabla
mwanamuziki mkongwe wa muziki wa dansi Maalim Muhidin Gurumo hajaaga
dunia alikuwa amemuandikia wimbo kama shukrani kwa kumpa zawadi ya gari
mwaka jana.
Platnumz amesema meneja wake Babu Tale alimpa taarifa hiyo njema ya
kuandikiwa wimbo na Gurumo lakini kwa bahati mbaya mzee Gurumo alifariki
kabla hajamkabidhi wimbo
↧