Ni visa mbavyo wengi tulivisikia katika hadithi za kale, watu kuliwa
na majitu, lakini katika siku za karibuni tumeshuhudia watu wakila
viungo vya wenzao Jamhuri ya Afrika ya Kati katika jazba ya kulipiza
kisasi dhidi ya watu waliowadhulumu katika uongozi uliong'olewa
mamlakani wa Seleka.
Nchini Pakistan Polisi wamewakamata wanaume wawili kwa makosa ya kuiba maiti ya mtoto kutoka
↧