Makamu mwenyekiti wa bunge maalum la katiba, Samia Suluhu Hassan
amesema amepokea hati ya makubaliano ya muungano wa Tanganyika na
Zanzibar iliyothibitishwa kisheria.
Hati hiyo imefikishwa bungeni hapo baada ya mjumbe wa bunge hilo,
Tundu Lissu kuomba hati hiyo ioneshwe hadharani siku mbili zilizopita.
Waziri wa nchi ofisi ya rais, Stephen Wasirra alieleza kuwa ametimiza
↧