Nilimsikiliza Mheshimiwa Tundu Lissu na nasikitika kwamba
sikubaliani naye jinsi alivyoeleza shutma juu na dhidi ya Mwalimu
Julius Nyerere, Baba na Muasisi wa Taifa letu.
Inajulikana na umma wa Watanzania, kwamba mimi binafsi, kama Waziri wa
Fedha, nilitofautiana na Mwalimu, nikajiuzulu Uwaziri Decemba,1979,
nikimwomba ateuwe Mtanzania mwingine atakayeshauri mambo ya Uchumi na
↧