Vikao vya Bunge Maalum la Katiba vitaendelea tena leo kwa kujadili sura
ya 1 na ya ile ya 6 ya Rasimu ya Katiba licha ya baadhi ya wajumbe
kususia kikao hicho jana jioni na kutoka nje ya ukumbi kwa kile
walichodai ni kuchoshwa na matusi, dharau na ubaguzi .
Kauli
ya kuendelea kwa kikao leo ilitolewa usiku wa jana na Mwanasheria Mkuu
wa Serikali, Jaji Federick Werema kabla ya
↧