Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all articles
Browse latest Browse all 45270

Rais Kikwete atoa msamaha kwa wafungwa 3,967 ikiwa ni sehemu ya maadhimisho miaka 50 ya Muungano wa Tanzania

$
0
0
RAIS Jakaya Kikwete, ametoa msamaha kwa wafungwa 3,967 ikiwa ni sehemu ya maadhimisho miaka 50 ya Muungano wa Tanzania.  Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa kwa vyombo vya habari Dar es Salaam jana na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe, Rais ametoa msamaha kwa wafungwa kwa kutumia madaraka aliyopewa chini ya ibara ya 45 (1) (d) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. 

Viewing all articles
Browse latest Browse all 45270

Trending Articles