Ukosefu ama upungufu wa nguvu za kiume ni ile hali ya mwanaume kutokuwa na uwezo wa kukamilisha tendo la ndoa kwa ufasaha.
Tatizo hili linawakabili mamilioni ya wanaume duniani na limekuwa na
athari nyingi kama vile kuvunjika kwa mahusiano na hata ndoa.
Mwanaume mwenye tatizo la ukosefu ama upungufu wa nguvu za kiume anakuwa
hana uwezo wa kumtosheleza mwanamke kwenye tendo la ndoa.
↧