Rais Jakaya Kikwete, amesema iwapo siku 60 za nyongeza zitakwisha
bila wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba kufikia maridhiano na kupata
Katiba mpya, hakutakuwa na nyongeza nyingine ya muda.
Rais Kikwete aliyasema hayo jana wakati akihutubia maelfu ya wafanyakazi
katika sikuku ya Mei Mosi ambazo Kitaifa zilifanyika kwenye Uwanja wa
Uhuru, jijini Dar es Salaam.
Rais Kikwete alisema hadi
↧