Hofu inazidi kutanda nchini Nigeria na matumaini ya kuwapata
wanafunzi wa kike zaidi ya 200 waliotekwa nyara na kundi la Boko Haram
yanapungua baada ya kiongozi wa kundi hilo kutangaza kuwa amepanga
kuwauza.
“Nimewateka nyara wasichana wenu. Nitawauza sokoni, kwa jina la
Mungu.” Alisema kiongozi wa Boko Haram, Abubakar Shekau kwenye video
ambapo aliongea kwa lugha ya Hausa na
↧