Miongoni mwa stori za mjini zilizobamba wikiendi hii ni hii ya Mamba kuuawa Block
41 Kinondoni Dar es salaam kwenye eneo ambalo wanaishi watu kadhaa
maarufu wa Tanzania akiwemo Kalapina wa kikosi cha Mizinga, hii ni nyuma
ya bestbite, Mamba huyu akiwa ametokea kwenye bwawa nyuma ya 41
Records.
Bwawa limezungukwa na nyumba kwenye eneo la kwa Kisamo zamani Kajima
ambapo kwenye hili
↧