Yule mganga maarufu wa mastaa nchini ambaye aliwahi kutangaza kuwa amekuwa na ukaribu na mwanamuziki Diamond ameibuka na kusema kuwa tuzo hizo saba alizozipata zinamaana kubwa sana kwenye kazi zake anazozifanya.
Akiongea na gazeti la Makani Bongo kwa njia ya simu( 0788844490) toka Mwanza alikoalikwa na wananchi wa huko kwa ajili ya kutoa huduma, mganga huyo alisema:
"Niliongea na
↧