Mgogoro unaodaiwa kuwepo kati ya Juma Nature na Jokate Mwegelo inasemekana ni kamba za mchana na kwamba hilo ni dili linachezwa na wawili hao ili kupandisha chati kandambili za Jokate....
Hivi karibuni Nature alidai kufurahishwa na Jokate kuiga wazo la kutengeneza kandambili zenye jina na sura yake, huku akidai kuwa angekuwa ni mwanaume
↧