Askofu
Gervas Nyaisonga wa Jimbo katoliki la Mpanda akibusu Ardhi
katika kijiji cha Kamsisi ikiwa ni ishara ya kuhamia rasmi kuliongoza
jimbo la Mpanda akitokea jimbo katoliki la Dodoma
Askofu
Gervas Nyaisonga wa jimbo la Katoliki la Mpanda akisalimiana na Mapadri
wa jimbo hilo katika eneo la mto koga ambapo ndipo
linapoanzia Jimbo katoliki la Mpanda wakati alipokuwa akiwasili
↧