Msururu wa magari ukiwa mkubwa katika eneo hilo baada ya kushindwa kupita kutokana na moto mkubwa uliokuwa ukiwaka.
Wananchi na wasafiri mbalimbali wakitoka kuangalia tukio hilo.
Askari wa usalama barabarani akihakikisha mambo yanakwenda sawa na usalama unaimarishwa katika eneo hilo.
****
Tanki la mafuta la kampuni ya
B. Clarke Haulege Construction limelipuka na kuwaka moto
↧