Kama ilivyo siku zote yanapofanyika mashindano lazima kuwe na pande
mbili, moja ikiwa ni ya wale watakaofurahia matokeo kutokana na kushinda
na upande wa wale ambao hawatafurahia kutokana na kushindwa na mara
nyingine kutoridhishwa kabisa na matokeo.
Producer aliyetengeneza hit ya ‘Number One’ ya Diamond Platnumz,
Sheddy Clever ni miongoni mwa wale ambao hawakubahatika
↧