Video queen maarufu Tanzania Agness Masogange uliyemuona hvi karibuni
kwenye video ya Tunda Man ft Ali Kiba, Msambinungwa ameongeza tattoo
nyingine kwenye mwili wake iliyoko chini ya maziwa yake.Tattoo hii inaujumbe kwa watu kuwa Huru
zaidi na kujiamini duniani.
<!-- adsense -->