CHAMA cha siasa cha Alliance for Change and Transparency ( ACT-Tanzania ) ambacho kinatajwa kuasisiwa na mwanasiasa machachari, Zitto Kabwe na vigogo wa zamani wa CHADEMA, jana kilipatiwa usajili wa kudumu na msajili wa vyama vya siasa nchini,Jaji Francis Mutungi....
Jaji Mutungi alikabidhi cheti cha usajili wa kudumu kwa kaimu mwenyekiti wa
↧