Mmoja wa majeruhi wa bomu la
kutengenezwa ‘kienyeji’ ambao ulilipuka katika vyumba vya Hosteli za
Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (K.K.K.T), mtaa wa Gana jana saa mbili
usiku.
*************
Mtu mmoja amenusurika kufa baada ya kulipukiwa na bomu lili
lotengenezwa kienyeji kisha kuhifadhiwa katika mfumo wa zawadi na
kutegwa katika nyumba ya kupumzikia wageni iliyopo
↧