SASA hakuna ubishi kuwa, ile ndoa iliyofungwa kwa mbwembwe na
kuvunjika kabla ya mwezi mmoja kati ya msanii wa filamu za Kibongo,
Skyner Ally ‘Skaina’ na Saad Omar, chanzo ni Mwanabongo Fleva, Emmanuel
Eribaliki ‘Nay wa Mitego’.
Habari za awali zilisema kuwa, ndoa ya Skaina iliingia mdudu baada ya
mumewe kugundua kuwa alinunua ‘mbuzi kwenye gunia’, kwani bidada huyo
alikuwa na
↧