MSANII wa filamu Bongo,Lulu Semagongo 'Aunty Lulu' anadai kuwa anajuta kumvulia nguo mwandani wake aliyemtaja kwa jina la Amani ambaye hivi karibuni alimshushia kipigo kikali baada ya kutaka kwenda kujirusha usiku kwenye kumbi za starehe....
Akizungumza na Mpekuzi wetu,Aunty Lulu alisema katika siku ya tukio ni kweli alitaka kwenda kupata
↧