Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe kesho atatangaza Baraza Kivuli la Mawaziri.
Kwa mara ya kwanza tangu Uchaguzi Mkuu uliopita wa
2010 na baadaye kuzinduliwa kwa Bunge la 10, baraza hilo litawajumuisha
wabunge kutoka vyama vingine nje ya Chadema. Vyama vitakavyojumuishwa
ni CUF na NCCR – Mageuzi.
“Nitalitangaza baraza langu jipya la mawaziri
Alhamisi (
↧