Waziri Mkuu, Mizengo Pinda jana aliwasilisha bungeni, bajeti ya
ofisi yake na mfuko wa Bunge inayofikia Sh5.21 trilioni. Kati ya hizo,
Sh5 bilioni zimetengwa kwa ajili ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa
uliopangwa kufanyika baadaye mwaka huu.
Hayo yalielezwa bungeni jana na Waziri wa Nchi,
Ofisi ya Waziri Mkuu (Tamisemi), Hawa Ghasia wakati wa maelezo kuhusu
kazi zilizotekelezwa
↧