Mwanamuziki Rehema Chalamila ‘Ray C’, ametoka katika Hospitali
ya Mwananyamala, Dar es Salaam alikokuwa amelazwa.
Mwanamuziki huyo ambaye amekuwa katika tiba ya kuachana na matumizi ya
dawa za kulevya hospitalini hapo, alifikishwa hapo juzi Jumatatu asubuhi
na baadhi ya madaktari walibainisha kuwa Ray C alikuwa anasumbuliwa na ugonjwa
wa dengue ambao umelipuka katika maeneo mengi jijini
↧