Msanii nyota wa kike wa muziki wa kizazi kipya nchini, Khadija Shaban
maarufu kama ‘Keisha’ amejifungua mtoto wa kiume siku ya Jumatatu (Mei
5) katika hospitali ya Mount Mkombozi Kinondoni.
Akizungumza nasi leo, Keisha amesema anashukuru Mungu amejifungua
salama na mtoto anaendelea vizuri.
“Nimejifungua mtoto mwingine wa kiume
katika hospitali ya Mount Mkombozi Kinondoni.
↧